31. Hivi ndivo wanavoamini Shu´uubiyyah

Shu´uubiyyah. Ni wazushi na wapotofu. Wanaona kulingana kwa waarabu na watumwa. Hawatambui haki wala ubora wa waarabu. Hawawapendi. Bali wanawachukia waarabu na wanawawekea ndani ya nyoyo zao chuki, hasadi na bughudha. Hii ni ´Aqiydah mbaya iliyozuliwa na muiraki mmoja ambaye alifuatwa na kundi la watu wachache ambapo baadaye akauliwa kutokana na madhehebu yake.

  • Mhusika: Imaam Harb bin Ismaa´iyl al-Kirmaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-us-Sunnah, uk. 94
  • Imechapishwa: 08/06/2022