33. Du´aa baada ya kutoa salamu ya Witr

  Download

119-

سُـبْحانَ المَلِكِ القُدّوسِ

“Ametakasika, Mfalme, kutokamana na mapungufu, Mtakatifu.”

Mara 3. Mara ya tatu apaze na aivute sauti yake na huku aseme:

[ربِّ الملائكةِ والرّوح]

“Ee Mola wa Malaika na wa Jibriyl.”[1]

[1] an-Nasaa´iy (03/244), ad-Daaraqutwniy na wengineo. Ilioko kati ya mabano ni ziada ya ad-Daaraqutwniy (02/31) kwa cheni ya wapokezi Swahiyh. Tazama “Zaad-ul-Ma’aad” kwa ukaguzi wa Shu’ayb al-Arnaauutw na ‘Abdul-Qaadir al-Arnaauutw (01/337).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 28/04/2020