61 – ´Abdullaah bin Ja´far al-Baghdaadiy ametukhabarisha huko Misri: Yahyaa bin Ayyuub ametuhadithia: Yahyaa bin Bukayr ametuhadithia: al-Layth ametuhadithia, kutoka kwa Khaalid bin Yaziyd, kutoka kwa ´Atwaa’ bin Yasaar, kutoka kwa Abu Sa´iyd, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:

”Allaah (Jalla wa ´Azz) atatoa ngumi kutoka Motoni na awatupe ndani ya mto wa Uhai, kisha awaingize Peponi.”[1]

[1] al-Bukhaariy (7539), Muslim (302) na Ahmad (3/94).

  • Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 82-83
  • Imechapishwa: 18/06/2026
  • Taaliki: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy