Swali 28: Sisi tuna muadhini ambaye watu wanamfuata katika adhaana ya Maghrib. Anaadhini pale tu jua linapozama. Je, akate swawm kwanza kisha ndio aadhini? Au anatakiwa aadhini kwanza kisha ndio akate swawm kwa kuzingatia kuwa watu wanamfuata yeye[1]?
Jibu: Yote mawili yanajuzu. Akiwa na uhakika kuwa jua limeshazama akate swawm kwa tende na anywe maji halafu aadhini. Anaweza vilevile akaadhini kwanza kisha ndio akate swawm. Napendekeza hili la pili.
[1] Kutoka “Fath-ur-Rabb al-Waduud” (1/252).
- Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 43-44
- Imechapishwa: 12/06/2017
Swali 28: Sisi tuna muadhini ambaye watu wanamfuata katika adhaana ya Maghrib. Anaadhini pale tu jua linapozama. Je, akate swawm kwanza kisha ndio aadhini? Au anatakiwa aadhini kwanza kisha ndio akate swawm kwa kuzingatia kuwa watu wanamfuata yeye[1]?
Jibu: Yote mawili yanajuzu. Akiwa na uhakika kuwa jua limeshazama akate swawm kwa tende na anywe maji halafu aadhini. Anaweza vilevile akaadhini kwanza kisha ndio akate swawm. Napendekeza hili la pili.
[1] Kutoka “Fath-ur-Rabb al-Waduud” (1/252).
Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 43-44
Imechapishwa: 12/06/2017
https://firqatunnajia.com/28-muadhini-aadhini-kwanza-kisha-ndio-akate-swawm/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)