6- Miongoni mwa matunda ya elimu ni thawabu wakati wa kuitafuta. Mwanafunzi anapata thawabu nyingi pale anapochukua njia na kujifunza elimu.

  • Mhusika: Shaykh Sulaymaan bin Saliymillaah ar-Ruhayliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-´Ilm wa Wasaaailuh wa Thimaaruh
  • Imechapishwa: 22/10/2016