26. Hivi ndivo wanavoamini Sabaiyyah

Sabaiyyah. Nao ni Raafidhwah na waongo. Nao hawako mbali sana na mapote yaliyotajwa na wanaoenda kinyume na maimamu. Raafidhwah ni wenye athari mbaya zaidi katika Uislamu kuliko makafiri wanaoupiga vita.

Wako Raafihwah ambao wanasema kuwa ´Aliy yuko mawinguni na kwamba atafufuliwa kabla ya siku ya Qiyaamah. Yote haya ni uwongo na uzushi.

  • Mhusika: Imaam Harb bin Ismaa´iyl al-Kirmaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-us-Sunnah, uk. 83-84
  • Imechapishwa: 06/06/2022