27. Hivi ndivo wanavoamini Zaydiyyah

Zaydiyyah. Nao ni Raafidhwah. Ni wale wanaojitenga mbali na ´Uthmaan, Twalhah, az-Zubayr na ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhum). Wanatangaza vita na kila ambaye anajivua na kizazi cha ´Aliy, pasi n kujali ni mwema au muovu, mpaka wao washinde au washindwe.

  • Mhusika: Imaam Harb bin Ismaa´iyl al-Kirmaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-us-Sunnah, uk. 84-85
  • Imechapishwa: 06/06/2022