Mansuuriyyah. Wao pia ni Raafidhwah na ndio sampuli mbaya zaidi. Ndio wale wanaosema kuwa ambaye atawaua watu arobaini ambao wanakwenda kinyume na matamanio yao basi ataingia Peponi. Ndio wale wanaowanyonga watu hadi kufa na wanahalalisha mali zao. Ndio wale wanaosema kuwa Jibriyl (´alayhis-Salaam) alikosea Wahy. ´Aqiydah hii ndio ukafiri wa wazi usiokuwa na athari yoyote ya imani. Tunataka hifadhi kwa Allaah, tunataka hifadhi kwa Allaah.
- Muhusika: Imaam Harb bin Ismaa´iyl al-Kirmaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-us-Sunnah, uk. 82-83
- Imechapishwa: 06/06/2022
Mansuuriyyah. Wao pia ni Raafidhwah na ndio sampuli mbaya zaidi. Ndio wale wanaosema kuwa ambaye atawaua watu arobaini ambao wanakwenda kinyume na matamanio yao basi ataingia Peponi. Ndio wale wanaowanyonga watu hadi kufa na wanahalalisha mali zao. Ndio wale wanaosema kuwa Jibriyl (´alayhis-Salaam) alikosea Wahy. ´Aqiydah hii ndio ukafiri wa wazi usiokuwa na athari yoyote ya imani. Tunataka hifadhi kwa Allaah, tunataka hifadhi kwa Allaah.
Muhusika: Imaam Harb bin Ismaa´iyl al-Kirmaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-us-Sunnah, uk. 82-83
Imechapishwa: 06/06/2022
https://firqatunnajia.com/25-hivi-ndivo-wanavoamini-mansuuriyyah/