23 – Sulaymaan bin Harb ametuhadithia: Jariyr bin Haazim ametuhadithia: Nimemsikia al-Hasan akisema: Mtume wa Allaah (sallâ Allâhu ´alayhi wa sallam) amesema:
لا تأكل الأرض جسد من كلَّمه روح القدس
”Udongo hauli mwili wa ambaye amezungumzishwa na Roho Mtakatifu.”[1]
[1] Hadiyth ni Swahiyh kutokana na ya kabla yake. Cheni ya wapokezi wake ni Swahiyh na kuna Swahanbah anayekosekana. al-Hasan huyu ni al-Baswriy.
- Muhusika: Imaam Ismaa´iyl bin Ishaaq al-Maalikiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwl-us-Swalaah ´alaan-Nabiy, uk. 37
- Imechapishwa: 07/01/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
23 – Sulaymaan bin Harb ametuhadithia: Jariyr bin Haazim ametuhadithia: Nimemsikia al-Hasan akisema: Mtume wa Allaah (sallâ Allâhu ´alayhi wa sallam) amesema:
لا تأكل الأرض جسد من كلَّمه روح القدس
”Udongo hauli mwili wa ambaye amezungumzishwa na Roho Mtakatifu.”[1]
[1] Hadiyth ni Swahiyh kutokana na ya kabla yake. Cheni ya wapokezi wake ni Swahiyh na kuna Swahanbah anayekosekana. al-Hasan huyu ni al-Baswriy.
Muhusika: Imaam Ismaa´iyl bin Ishaaq al-Maalikiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fadhwl-us-Swalaah ´alaan-Nabiy, uk. 37
Imechapishwa: 07/01/2024
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/23-hadiyth-udongo-hauli-mwili-wa-ambaye/