Swali: Ni ipi hukumu kwa mwanamke kutumia wanja na baadhi ya vipodozi vingine mchana wa Ramadhaan?

Jibu: Hakuna neno.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Min Fataawaas-Swiyaam, uk. 25
  • Imechapishwa: 24/03/2022