Abu Ja´far at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:

44 – Uombezi ambao amewawekea ni haki, kama ilivyopokelewa katika Hadiyth nyingi.

MAELEZO

Hadiyth hizo nazo ni nyingi tele na Ibn Abiy ´Aaswim ameziandikia milango sita. Ibn Abiyl-´Izz al-Hanafiy (Rahimahu Allaah) ametaja nyingi katika hizo katika maelezo yake. Ufupisho wake ni kwamba maombezi yake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni aina saba. Kwa yule anayetaka kutafiti na kuhakikisha arejee huko, kwani ni maudhui muhimu.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah – Sharh wa Ta´liyq, uk. 37-38
  • Imechapishwa: 22/09/2024