19. Ni ipi hukumu ya kupuuza ratiba ya muda na kukata swawm kabla ya jua kuzama?

Swali 19: Ni ipi hukumu ya kutofuata ratiba ya muda na kukata swawm kabla ya jua kuzama?

Jibu: Ikibainika kuwa mmekata swawm kabla ya jua kuzama, basi inakulazimuni kuilipa siku hiyo. Ama ikiwa hamjahakikisha hilo swawm yenu ni sahihi.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 35
  • Imechapishwa: 12/06/2017