Wanazuoni wanaona kuwa mtu asikate kumfundisha yeyote kwa sababu ya kuwa hana nia sahihi. Sufyaan na wengineo wamesema:
”Kule kutafuta kwao elimu ni nia.”
Wamesema tena:
”Tulitafuta elimu kwa ajili ya asiye Allaah, lakini ikakataa isipokuwa iwe kwa ajili ya Allaah.”
Maana yake ni kwamba mwisho wake ukawa ni kwa ajili ya Allaah (Ta´ala).
- Muhusika: Imaam Yahyaa bin Sharaf an-Nawawiy (afk. 677)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tibyaan fiy Aadaabi Hamalat-il-Qur-aan, uk. 32
- Imechapishwa: 26/08/2026
Wanazuoni wanaona kuwa mtu asikate kumfundisha yeyote kwa sababu ya kuwa hana nia sahihi. Sufyaan na wengineo wamesema:
”Kule kutafuta kwao elimu ni nia.”
Wamesema tena:
”Tulitafuta elimu kwa ajili ya asiye Allaah, lakini ikakataa isipokuwa iwe kwa ajili ya Allaah.”
Maana yake ni kwamba mwisho wake ukawa ni kwa ajili ya Allaah (Ta´ala).
Muhusika: Imaam Yahyaa bin Sharaf an-Nawawiy (afk. 677)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tibyaan fiy Aadaabi Hamalat-il-Qur-aan, uk. 32
Imechapishwa: 26/08/2026
https://firqatunnajia.com/18-nia-isiyo-sahihi-ya-mwalimu-na-mwanafunzi/