Wanapokuwa wengi atangulize katika kuwafundisha yule aliyekaa mbele kisha kuendelea na mpangilio huo. Ikiwa yule wa kwanza ameridhia kutangulizwa mwingine, basi atamtanguliza. Inampasa awaonyeshe bashasha na uso wenye furaha. Achunguze hali zao na amuulize yule aliyekosekana miongoni mwao.

  • Muhusika: Imaam Yahyaa bin Sharaf an-Nawawiy (afk. 677)
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tibyaan fiy Aadaabi Hamalat-il-Qur-aan, uk. 32
  • Imechapishwa: 26/08/2026