Swali: Je, inafaa kutumia manukato kama mfano wa mafuta ya udi, maji ya pafyumu ya cologne na uvumba?

Jibu: Ndio, inafaa kuvitumia. Kwa sharti asivute uvumba kwa pumzi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ashyaa´ laa tufsid-is-Swawm, uk. 13
  • Imechapishwa: 01/04/2021