14. Hadiyht “Tulikuwa pamoja na Mtume wa Allaah wakati ambapo Bilaal… “

246 – Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:

“Tulikuwa pamoja na Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) wakati ambapo Bilaal alisimama akaadhini. Wakati aliponyamaza Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akasema: “Yule atakayesema mfano wa haya hali ya kuwa na yakini, basi ataingia Peponi.”[1]

 Ameipokea an-Nasaa´iy na Ibn Hibbaan katika “as-Swahiyh” yake.

[1] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/218)
  • Imechapishwa: 01/03/2022
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy