131. Ni vipi Mtume (صلى الله عليه وسلم) alikuwa akimsabihi Allaah?

  Download

266- ´Abdullaah bin ´Amr (Radhiya Allaahu ´anhumaa) amesimulia:

“Nilimuona Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akihesabu kumsabihi Allaah kwa mkono wake wa kuume.”[1]

[1] Abu Daawuud (02/81) na tamko lake na at-Tirmidhiy (05/521). Tazama “Swahiyh-ul-Jaami’” (04/271) nambari. (4865).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 09/05/2020