266- ´Abdullaah bin ´Amr (Radhiya Allaahu ´anhumaa) amesimulia:
“Nilimuona Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akihesabu kumsabihi Allaah kwa mkono wake wa kuume.”[1]
[1] Abu Daawuud (02/81) na tamko lake na at-Tirmidhiy (05/521). Tazama “Swahiyh-ul-Jaami’” (04/271) nambari. (4865).
- Muhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Huswn-ul-Muslim
- Imechapishwa: 09/05/2020