125. Du´aa ya anayechelea kupatwa na kijicho

  Download

244-

“Anapoona mmoja wenu kutoka kwa ndugu yake, nafsi yake mwenyewe au kutoka katika mali yake kinachompendeza [basi amwombee baraka]. Kwani hakika kijicho ni haki.”[1]

[1] Ahmad (04/447), Ibn Maajah na Maalik. Ni Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika ”Swahiyh-ul-Jaami’” (01/212) na ukaguzi wa ”Zaad-ul-Ma´aad” (04/170) ya al-Arnaauutw.

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 09/05/2020