Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah amesema:
Maneno ya Salaf kuhusu mada hii ni mengi katika vitabu vingi, hivi sasa siwezi kutaja isipokuwa vichache katika hivyo. Baadhi yake ni kama ifuatavyo:
1 – Sharh Usuwl I´tiqaad Ahl-is-Sunnah wal-Jamaa´ah ya al-Laalakaa’iy.
2 – al-Ibaanah ya Ibn Battah.
3 – as-Sunnah ya Abu Dharr al-Harawiy.
4 – Usuwl-us-Sunnah ya Abu ´Umar at-Twalamankiy.
5 – Maneno ya Ibn ´Abdil-Barr.
6 – al-Asmaa’was-Swifaat ya al-Bayhaqiy.
Kabla ya hapo kulitungwa:
7 – as-Sunnah ya at-Twabaraaniy.
8 – as-Sunnah ya Abush-Shaykh al-Aswbahaaniy.
9 – as-Sunnah ya Abu ´Abdillaah bin Mandah.
10 – as-Sunnah ya Abu Ahmad al-´Assaal al-Aswbahaaniy.
Kabla ya hapo kultungwa:
11 – as-Sunnah ya al-Khallaal.
12 – Kitaab-ut-Tawhiyd ya Ibn Khuzaymah.
13 – Kitabu cha Abul-´Abbaas bin Surayj.
14 – ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah kilichoandikwa na watunzi wengi.
Kabla ya hapo kultungwa:
15 – as-Sunnah ya ´Abdullaah bin Ahmad.
16 – as-Sunnah ya Abu Bakr bin al-Athram.
17 – as-Sunnah ya Hanbal.
18 – as-Sunnah ya al-Marruudhiy.
19 – as-Sunnah ya Abu Daawuud as-Sijistaaniy.
20 – as-Sunnah ya Ibn Abiy Shaybah.
21 – as-Sunnah ya Abu Bakr bin Abiy ´Aaswim.
22 – ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah ya ´Abdullaah bin Muhammad al-Ju´fiy, mwalimu waal-Bukhaariy.
23 – Khalqu Af´aal-il-´Ibaad ya Abu ´Abdillaah al-Bukhaariy.
24 – ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah ya ´Uthmaan bin Sa´iyd ad-Daarimiy.
25 – al-Haydah ya ´Abdul-´Aziyz al-Makkiy.
26 – Maneno ya Nu´aym bin Hammaad al-Khuzaa´iy.
27 – Maneno ya Imaam Ahmad bin Hanbal, Ishaaq bin Raahuuyah, Yayhaa bin Yahyaa an-Naysaabuuriy na mfano wao.
Tunazo dalili nyingi kutoka ndani ya Qur-aan, Sunnah na za kiakili ambazo haziwezi kutosha kuzitaja mahali hapa. Najua kuwa wanafalsafa wanazo hoja tata, lakini hatuwezi kuzitaja katika fatwa. Yule mwenye kuziangalia na anataka kujua haki juu ya hoja zao tata basi jambo ni jepesi.
MAELEZO
Imaam Hibatullaah al-Laalakaa’iy, mtunzi wa “Sharh Usuul I´tiqaad Ahl-is-Sunnah”, nayo ni ufafanuzi mkubwa na ni rejea muhimu katika marejeo ya Ahl-us-Sunnah.
Dalili za kusikika ni maandiko yaliyotajwa na Qur-aan na Sunnah. Dalili za kiakili ni hoja ambazo akili iliyo timamu imezithibitisha, zilizotajwa katika Qur-aan Tukufu, kama katika maneno ya Yake (Ta´ala):
إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَعِبْرَةً لِّأُولِي الْأَبْصَارِ
”Hakika katika hayo kuna mazingatio kwa wenye utambuzi!”[1]

”Hakika katika hayo bila shaka kuna mazingatio kwa wenye utambuzi.”[2]
فَاعْتَبِرُوا يَا أُولِي الْأَبْصَارِ
”Basi pateni mazingatio, enyi wenye uoni wa kutia akilini!”[3]
أَفَلَا تَذَكَّرُونَ
”Je, hamkumbuki?”[4]
قَدْ بَيَّنَّا لَكُمُ الْآيَاتِ ۖ إِن كُنتُمْ تَعْقِلُونَ
”Tumekwisha kubainishieni alama mkiwa mtatia akilini.”[5]
Makusudio ya akili hapa siyo elimu ya falsafa na mantiki ambayo inategemewa na Jahmiyyah na Mu´tazilah.
Anaomba udhuru mtunzi (Rahimahu Allaah) kwa kutotaja hoja tata zote za wanatheolojia pamoja na kuziraddi, kwa sababu fatwa imewekewa mipaka, nayo ni jawabu la swali tu. Mwenye kutaka majibu ya hoja tata zilizobaki, basi zipo katika vitabu vikubwa na vya wengineo, basi avirejee huko.
[1] 24:44
[2] 3:13
[3] 59:2
[4] 10:3
[5] 3:118
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Ta´liyqaat at-Tawdhwiyhiyyah ´alaa Muqaddimat-il-Fatwaa al-Hamawiyyah, uk. 195-206
- Imechapishwa: 09/07/2026

Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Ta´liyqaat at-Tawdhwiyhiyyah ´alaa Muqaddimat-il-Fatwaa al-Hamawiyyah, uk. 195-206
Imechapishwa: 09/07/2026
https://firqatunnajia.com/122-kuna-dalili-na-vitabu-vingi-vya-kunakili/