121. Dalili ya pili kufaa kwa mwanamke kuyatembelea makaburi

2 – Wanawake wanashiriki na wanaume katika sababu iliowekwa katika Shari´ah ambayo kwa ajili yake ndio ikasuniwa kuyatembelea makaburi:

”… kwani yanalainisha mioyo, kufanya macho kutokwa na machozi na kuwakumbusheni Aakhirah.”

  • Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz wa Bid´ahaa, uk. 229
  • Imechapishwa: 04/08/2026