Matabano kwenye mafuta ya zeituni

Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma Qur-aan ndani ya maji, mafuta ya zeituni na mafuta ya mbegu ya haba soda?

Jibu: Baadhi ya wanazuoni wamejibu kufaa kwake. Wamesema kuwa inafaa. Lakini kamilifu zaidi ni mtu kumfanyia matabano mgonjwa mwenyewe na kumtemea cheche za mate moja kwa moja.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/حكم-قراءة-القرآن-على-الماء-وزيت
  • Imechapishwa: 20/06/2022