Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma Qur-aan ndani ya maji, mafuta ya zeituni na mafuta ya mbegu ya haba soda?
Jibu: Baadhi ya wanazuoni wamejibu kufaa kwake. Wamesema kuwa inafaa. Lakini kamilifu zaidi ni mtu kumfanyia matabano mgonjwa mwenyewe na kumtemea cheche za mate moja kwa moja.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/حكم-قراءة-القرآن-على-الماء-وزيت
- Imechapishwa: 20/06/2022
Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma Qur-aan ndani ya maji, mafuta ya zeituni na mafuta ya mbegu ya haba soda?
Jibu: Baadhi ya wanazuoni wamejibu kufaa kwake. Wamesema kuwa inafaa. Lakini kamilifu zaidi ni mtu kumfanyia matabano mgonjwa mwenyewe na kumtemea cheche za mate moja kwa moja.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/حكم-قراءة-القرآن-على-الماء-وزيت
Imechapishwa: 20/06/2022
https://firqatunnajia.com/112326-2/