Swali 11: Akitwahirika mwanamke mwenye hedhi wakati wa ´Aswr au ´Ishaa aswali pamoja nazo Dhuhr na Maghrib kwa kuzingatia kwamba zinakusanywa pamoja?
Jibu: Mwanamke akisafika kutokamana na hedhi na damu ya uzazi wakati wa ´Aswr basi analazimika kuswali Dhuhr na ´Aswr pamoja kutokana na maoni sahihi zaidi ya wanazuoni. Kwa sababu wakati wake ni mmoja kwa yule mwenye udhuru kama mfano mgonjwa na msafiri. Yeye pia ni mwenye udhuru kwa sababu ya kuchelewa kusafika kwake. Vivyo hivyo akitwahirika wakati wa ´Ishaa basi kutamlazimu kuswali Maghrib na ´Ishaa pamoja kama ilivyotangulia. Jopo la Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum) wamefutu hivyo.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Muhimmah, uk. 11-12
- Imechapishwa: 11/08/2022
Swali 11: Akitwahirika mwanamke mwenye hedhi wakati wa ´Aswr au ´Ishaa aswali pamoja nazo Dhuhr na Maghrib kwa kuzingatia kwamba zinakusanywa pamoja?
Jibu: Mwanamke akisafika kutokamana na hedhi na damu ya uzazi wakati wa ´Aswr basi analazimika kuswali Dhuhr na ´Aswr pamoja kutokana na maoni sahihi zaidi ya wanazuoni. Kwa sababu wakati wake ni mmoja kwa yule mwenye udhuru kama mfano mgonjwa na msafiri. Yeye pia ni mwenye udhuru kwa sababu ya kuchelewa kusafika kwake. Vivyo hivyo akitwahirika wakati wa ´Ishaa basi kutamlazimu kuswali Maghrib na ´Ishaa pamoja kama ilivyotangulia. Jopo la Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum) wamefutu hivyo.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Muhimmah, uk. 11-12
Imechapishwa: 11/08/2022
https://firqatunnajia.com/11-mwanamke-anaposafika-na-hedhi-wakati-wa-aswr-au-ishaa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)