11. Hadiyth “Waadhini ndio watu wenye shingo ndefu zaidi… “

242 – Mu´aawiyah (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kwamba amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:

المؤذّنون أطولُ الناسِ أعناقاً يومَ القيامةِ

“Waadhini ndio watu wenye shingo ndefu zaidi siku ya Qiyaamah.”[1]

Muslim.

[1] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/216)
  • Imechapishwa: 27/02/2022
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy