241 – Jaabir (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kwamba amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
إنّ الشيطانَ إذا سمع النداءَ بالصلاة ذهبَ حتى يكون مكان الرَّوْحاءِ
“Shaytwaan anaposikia wito wa swalah basi huondoka mpaka akafika Rawhaa.”[1]
Rawhaa ipo 60 km kutokea Madiynah.
Ameipokea Muslim.
[1] Swahiyh.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/216)
- Imechapishwa: 27/02/2022
- taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
241 – Jaabir (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kwamba amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
إنّ الشيطانَ إذا سمع النداءَ بالصلاة ذهبَ حتى يكون مكان الرَّوْحاءِ
“Shaytwaan anaposikia wito wa swalah basi huondoka mpaka akafika Rawhaa.”[1]
Rawhaa ipo 60 km kutokea Madiynah.
Ameipokea Muslim.
[1] Swahiyh.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/216)
Imechapishwa: 27/02/2022
taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/10-hadiyth-shaytwaan-anaposikia-wito-wa-swalah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)