111 – Inapaswa kuepuka mambo mawili japokuwa watu wengi wamezoea kuyafanya:
1 – Kukusanyika kwa ajili ya kutoa pole katika sehemu maalum kama vile nyumbani, makaburini au msikitini.
2 – Familia ya maiti kuandaa chakula kwa ajili ya kuwakaribisha wanaokuja kutoa pole.
Hayo ni kwa sababu ya Hadiyth ya Jariyr bin ´Abdullaah al-Bajaliy (Radhiya Allaahu ´anh) ambaye ameeleza:
“Tulikuwa tukizingatia… ”
Imekuja katika upokezi mwingine:
”… tukiona kukusanyika kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya maiti na kuandaa chakula baada ya kumzika kwamba ni katika kuomboleza.”
Ameipokea Ahmad (6905), Ibn Maajah (1/490) na riwaya nyingine pia ni kutoka kwake. Cheni yake ya wapokezi ni Swahiyh kwa mujibu wa masharti al-Bukhaariy na Muslim. Ni Swahiyh kwa mujibu wa an-Nawawiy (5/320) na al-Buuswayriy katika “az-Zawaa-id”.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz wa Bid´ahaa, uk. 210-211
- Imechapishwa: 30/07/2026
111 – Inapaswa kuepuka mambo mawili japokuwa watu wengi wamezoea kuyafanya:
1 – Kukusanyika kwa ajili ya kutoa pole katika sehemu maalum kama vile nyumbani, makaburini au msikitini.
2 – Familia ya maiti kuandaa chakula kwa ajili ya kuwakaribisha wanaokuja kutoa pole.
Hayo ni kwa sababu ya Hadiyth ya Jariyr bin ´Abdullaah al-Bajaliy (Radhiya Allaahu ´anh) ambaye ameeleza:
“Tulikuwa tukizingatia… ”
Imekuja katika upokezi mwingine:
”… tukiona kukusanyika kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya maiti na kuandaa chakula baada ya kumzika kwamba ni katika kuomboleza.”
Ameipokea Ahmad (6905), Ibn Maajah (1/490) na riwaya nyingine pia ni kutoka kwake. Cheni yake ya wapokezi ni Swahiyh kwa mujibu wa masharti al-Bukhaariy na Muslim. Ni Swahiyh kwa mujibu wa an-Nawawiy (5/320) na al-Buuswayriy katika “az-Zawaa-id”.
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz wa Bid´ahaa, uk. 210-211
Imechapishwa: 30/07/2026
https://firqatunnajia.com/109-kukukusanyika-kwa-ajili-ya-kutoa-pole-na-kuandaa-chakula/