10- Miongoni mwa yale mwisho ambayo Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akisema baina ya Tashahhud na Tasliym ilikuwa:

اللَّهُمَّ اغْفِرْ لي ما قدمت وما أَخرت وَمَا أَسْرَرْتُ وَمَا أَعْلَنْتُ و ما أسْرَفْتُ وَمَا أَنْتَ أَعْلَمُ بِهِ مِنِّي أَنْتَ الْمُقَدِّم وأَنْتَ الْمُؤخِّر لاَ إِله إِلاَّ أَنْتَ

“Ee Allaah! Nisamehe niliyoyatanguliza, niliyoyachelewesha, niliyoyafanya kwa siri, niliyoyafanya kwa dhahiri, niliyopindukia na yale ambayo Wewe unayajua zaidi kuliko mimi. Wewe ndiye Mwenye kutanguliza na Wewe ndiye Mwenye kuchelewesha. Hapana mwabudiwa wa haki isipokuwa Wewe.”[1]

[1] Muslim na Abu ´Awaanah.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swifatu Swalaat-in-Nabiy, uk. 162-163
  • Imechapishwa: 14/01/2019