79 – Ibn Abiy ´Umar ametukhabarisha: Sufyaan ametukhabarisha, kutoka kwa Mis´ar, kutoka kwa Muhaarib, ambaye amesema:
“Tuliitangamana na al-Qaasim bin ‘Abdir-Rahmaan na akatushinda kwa mambo matatu: swalah nyingi, ukimya mrefu na ukarimu.”
80 – Abu Bakr ametukhabarisha: Wakiy´ ametukhabarisha, kutoka kwa Sufyaan, kutoka kwa Thawr, kutoka kwa Sulaym bin ´Aamir, kutoka kwa Abud-Dardaa’, ambaye amesema:
“Kizuizi bora kwa mtu ni nyumbani kwake. Atahifadhi humo ulimi wake na macho yake.”
81 – Ibn Abiy ´Umar ametukhabarisha: Sufyaan ametukhabarisha, kutoka kwa Ibn Abiy Khaalid, kutoka kwa Qays bin Abiy Haazim: Nimemsikia Twalhah bin ´Ubaydillaah, mmoja katika watu wapole wa Quraysh, akisema:
“Aibu ndogo kwa mtu ni kukaa katika nyumba yake.”
82 – Abu Twaalib al-Jurjaaniy ametukhabarisha: Muhammad bin Salamah ametukhabarisha, kutoka kwa Muhammad bin Ishaaq, kutoka kwa Ibn Abiy Najiyh, kutoka kwa Umm Mubashshir bint al-Baraa’ bin Ma´ruur, ambaye amesimulia kuwa amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akiwaambia Maswahabah zake:
“Je, nisikujulishe watu ambao ni wabora zaidi?” Wakasema: ”Ndio, ee Mtume wa Allaah.” Akasema: “Mtu anayejikinga na shari za watu.”[1]
83 – Muhammad bin Fudhwayl ametukhabarisha: Husayn bin ´Aliy al-Ju´fiy ametukhabarisha:
“Muhammad bin Nadhwr al-Haarithiy alimwambia Abul-Ahwasw: “Je, si wanadai kwamba Yeye anasema ‘Mimi nakaa na yule mwenye kunitaja Mimi`?” Akasema: “Ndiyo.” Ndipo akasema: “Hakuna mtu anayepaswa kukaa na watu.”
84 – Abul-Waliyd at-Twayaalisiy ametukhabarisha: Shu´bah ametukhabarisha: Khubayb bin ´Abdir-Rahmaan amenikhabarisha: Nimemsikia Hafsw bin ´Aaswim akisema kwamba ´Umar bin al-Khattwaab (Radhiya Allaahu ´anh) akisema:
”Chukueni fungu lenu katika kujitenga.”
85 – Abu Bakr ametukhabarisha: Abu Usaamah ametukhabarisha, kutoka kwa Mis´ar, kutoka kwa Wadiy´ah al-Answaariy, ambaye ameeleza kuwa ´Umar bin al-Khattwaab (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:
”Kujitenga kuna raha kutokana na matangamano maovu.”
86 – Hudbah ametukhabarisha: Haazim al-Qutwa´iy ametukhabarisha, kutoka kwa Maalik bin Diynaar, ambaye amesema:
“Jiepusheni na kila kundi ambalo hufaidiki nalo kheri yoyote.”
87 – Ibn Numayr ametukhabarisha: Abu Salamah ametukhabarisha, kutoka kwa al-A´mash, ambaye amesimulia kwamba ´Umar amesema:
”Raha inapatikana katika kuepuka matangamano maovu.”
88 – Ibraahiym bin Hajjaaj as-Saamiy ametukhabarisha: Salaam bin Abiy Mutwiy´ ametukhabarisha: Nimemsikia Qataadah akisema: ´Umar bin al-Khattwaab amesema:
”Yule anayesuhubiana na mtu muovu hasalimiki.”
[1] Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb” (2737).
- Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 21-22
- Imechapishwa: 29/06/2025

Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 21-22
Imechapishwa: 29/06/2025
https://firqatunnajia.com/10-peke-yako-nyumbani/