4 – Tunavyotakiwa kuwajibu Mu´attwilah

Mu´attwilah ni wale wanaokanusha kitu katika majina na sifa za Allaah na wanayapotosha maandiko kutoka katika udhahiri wake. Wanaitwa pia Mu´awwilah. Kanuni iliyoenea ni sisi kuwajibu kwa kusema:

Maneno yao yanaenda kinyume na udhahiri wa maandiko na isitoshe yanaenda kinyume na mfumo wa Salaf. ´Aqiydah yao haina dalili sahihi. Pengine baadhi ya sifa zikawa na wajihi wa nne au zaidi.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ta´aliyq mukhtaswar ´alaa Lum´at-il-I´tiqaad, uk. 27
  • Imechapishwa: 11/10/2022