09. Kutekeleza wasia wa maiti mtu wa kumuosha

Swali 09: Je, wasia wa maiti unatekelezwa akiteua mtu wa kumuosha[1]?

Jibu: Ndio, unatakiwa kutekelezwa.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/106-107).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 15
  • Imechapishwa: 11/12/2021