746- Samurah (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Simamisheni swalah, toeni zakaah, hijini, fanyeni ´umrah na nyookeni sawasawa mambo yenu pia yatanyooka sawasawa.”[1]

Ameipokea at-Twabaraaniy katika zote tatu. Cheni ya wapokezi wake ni nzuri – Allaah akitaka.

[1] Swahiyh kupitia zengine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/458)
  • Imechapishwa: 15/05/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy