745- Wameisimulia wengine kama maneno ya Ibn ´Umar, jambo ambalo ni sahihi:
“Kila mali ambayo unaitolea zakaah basi sio kulimbikiza ijapo itakuwa chini ya ardhi saba. Na kila mali ambayo huitolei zakaah basi huko ni kulimbikiza ijapo itakuwa inalealea juu ya ardhi.”[1]
Ameipokea al-Bayhaqiy.
[1] Swahiyh kama maneno ya Swahabah.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/458)
- Imechapishwa: 15/05/2020
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
745- Wameisimulia wengine kama maneno ya Ibn ´Umar, jambo ambalo ni sahihi:
“Kila mali ambayo unaitolea zakaah basi sio kulimbikiza ijapo itakuwa chini ya ardhi saba. Na kila mali ambayo huitolei zakaah basi huko ni kulimbikiza ijapo itakuwa inalealea juu ya ardhi.”[1]
Ameipokea al-Bayhaqiy.
[1] Swahiyh kama maneno ya Swahabah.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/458)
Imechapishwa: 15/05/2020
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/08-hadiyth-kila-mali-ambayo-unaitolea-zakaah/