08. Mke mwema anamtii mume wake katika yasiyokuwa maasi

2 – Anamtii mume wake katika yasiyokuwa kumuasi Allaah (Ta´ala), anatekeleza haki zake kikamilifu na miongoni mwa sifa hizo ni zile ambazo zimekwishatangulia katika mlango wa kwanza.

  • Mhusika: Shaykh Muhammad Shuwmaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swifaat-uz-Zawjah as-Swaalihah, uk. 23
  • Imechapishwa: 26/09/2022