Swali: Mtu akipatwa na maumivu katika meno yake ambapo akaenda kwa daktari akamsafisha meno, akamtengeneza au akamg´oa jino lake – je, mambo hayo yanaiathiri swawm yake? Iwapo daktari atamdunga sindano ya kumpoza meno yake kuna athari yoyote juu ya swawm yake?
Jibu: Hayo yaliyotajwa hayana athari katika kusihi kwa swawm yake. Ni mambo yenye kusamehewa. Ajichunge asije kumeza dawa wala damu yoyote. Sindano hii iliotajwa haina athari yoyote juu ya kusihi kwa swawm yake kwa sababu haina maana ya kula wala kunywa. Kimsingi ni kwamba swawm ni yenye kusihi na kusalimika.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ashyaa´ laa tufsid-is-Swawm, uk. 09
- Imechapishwa: 31/03/2021
Swali: Mtu akipatwa na maumivu katika meno yake ambapo akaenda kwa daktari akamsafisha meno, akamtengeneza au akamg´oa jino lake – je, mambo hayo yanaiathiri swawm yake? Iwapo daktari atamdunga sindano ya kumpoza meno yake kuna athari yoyote juu ya swawm yake?
Jibu: Hayo yaliyotajwa hayana athari katika kusihi kwa swawm yake. Ni mambo yenye kusamehewa. Ajichunge asije kumeza dawa wala damu yoyote. Sindano hii iliotajwa haina athari yoyote juu ya kusihi kwa swawm yake kwa sababu haina maana ya kula wala kunywa. Kimsingi ni kwamba swawm ni yenye kusihi na kusalimika.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ashyaa´ laa tufsid-is-Swawm, uk. 09
Imechapishwa: 31/03/2021
https://firqatunnajia.com/08-mfungaji-kutunzwa-meno-wakati-wa-mchana/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)