07. Mfungaji kupitisha dawa njia ya tupu ya nyuma

Swali: Ni ipi hukumu ya kutumia dawa katika funga kupitia njia ya tupu ya nyuma, kunusa mapito ya mkojo au ya kizazi au dawa za kioevu pamoja na kuzingatia kwamba nyenzo za dawa zinafika kwenye damu?

Jibu: Maoni ya sawa ni kwamba zinazowekwa kupitia njia ya tupu ya nyuma hazifunguzi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ashyaa´ laa tufsid-is-Swawm, uk. 08
  • Imechapishwa: 31/03/2021