08. Hadiyth ”Tumefanywa bora juu ya watu wengine kwa vitu vitatu… ”

21 – Hudhayfah bin al-Yamaan (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia ya kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Tumefanywa bora juu ya watu wengine kwa vitu vitatu: safu zetu zimefanywa kama safu za Malaika…”[1]

[1] Muslim (522).

  • Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ujuwb Taswiyat-is-Sufuuf
  • Imechapishwa: 22/01/2025