390 – Imepokelewa kwamba Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

الصلاةُ خيرُ موضوعٍ، فمَن استطاع أنْ يستكثِرَ فَلْيَسْتَكْثِرْ

“Swalah ni maudhui bora kabisa. Hivyo basi, yule awezaye kukithirisha na akithirishe.”[1]

Ameipokea at-Twabaraaniy katika “al-Mu´jam al-Awsatw”.

[1] Nzuri kupitia zingine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/280)
  • Imechapishwa: 28/11/2023
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy