08. Hadiyth “Kunisemea uongo mimi sio kama kumsemea uongo mwengine yeyote… “

96- al-Mughiyrah ameeleza kuwa amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:

“Kunisemea uongo mimi sio kama kumsemea uongo mwengine yeyote. Yeyote mwenye kunisemea uongo kwa makusudi basi ajiandalie makazi yake Motoni.”[1]

Ameipokea Muslim na wengineo.

[1] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/148)
  • Imechapishwa: 01/05/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy