8- Muhammad bin ´Abdillaah al-Qaadhwiy ametuhadithia kwa kutusomea: Ahmad bin Muhammad an-Nuswriy ar-Raaziy ametuhadithia Kuufah: Ahmad bin Muusaa at-Tamiymiy ametuhadithia: Abuu Nu´aym ametuhadithia, kutoka kwa Shaybaan, kutoka kwa Yahyaa bin Abiy Kathiyr, kutoka kwa ´Urwah, kutoka kwa mama yake Asmaa´ bint Abiy Bakr (Radhiya Allaahu ´anhumaa) aliyesimulia ya kuwa alimsikia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema juu ya mimbari:
“Hakuna kilicho na wivu kuliko Allaah (´Azza wa Jall).”[1]
[1] al-Bukhaariy (5222) na Muslim (2762).
- Muhusika: Imaam Abu Ismaa´iyl ´Abdullaah bin Muhammad al-Answaariy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Arba´uun fiy Dalaa-il-it-Tawhiyd, uk. 29
- Imechapishwa: 13/01/2017
8- Muhammad bin ´Abdillaah al-Qaadhwiy ametuhadithia kwa kutusomea: Ahmad bin Muhammad an-Nuswriy ar-Raaziy ametuhadithia Kuufah: Ahmad bin Muusaa at-Tamiymiy ametuhadithia: Abuu Nu´aym ametuhadithia, kutoka kwa Shaybaan, kutoka kwa Yahyaa bin Abiy Kathiyr, kutoka kwa ´Urwah, kutoka kwa mama yake Asmaa´ bint Abiy Bakr (Radhiya Allaahu ´anhumaa) aliyesimulia ya kuwa alimsikia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema juu ya mimbari:
“Hakuna kilicho na wivu kuliko Allaah (´Azza wa Jall).”[1]
[1] al-Bukhaariy (5222) na Muslim (2762).
Muhusika: Imaam Abu Ismaa´iyl ´Abdullaah bin Muhammad al-Answaariy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Arba´uun fiy Dalaa-il-it-Tawhiyd, uk. 29
Imechapishwa: 13/01/2017
https://firqatunnajia.com/08-dalili-ya-kwamba-allaah-ni-kitu/