129- Luqmaan (bin ´Aamir) amesimulia kwamba Abud-Dardaa alikuwa akipenda kusema:
“Hakika si vyenginevyo ninachochelea ni Mola wangu kuniita mbele ya walimwengu wote na kusema: “Ee ´Uwaymir!”, ambapo niseme: “Nakuitikia, ee Mola wangu.” Kisha aseme: “Kipi ulifanya kwa yale uliyojifunza?”[1]
Ameipokea al-Bayhaqiy.
[1] Swahiyh kupitia zengine.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/163)
- Imechapishwa: 05/05/2020
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)