5- Allaah anausamehe Ummah wa Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) usiku wa mwisho wa mwezi huu midhali wamesimama kwa yale yanayowapasa katika mwezi huu uliobarikiwa katika kufunga na kusimama usiku kuswali ikiwa ni fadhilah kutoka Kwake (Subhnaanah) kuwatimizia ujira wao wakati wa kumaliza kazi yao. Si vyenginevyo mfanya kazi hulipwa ujira wake wakati wa kumaliza kazi yake.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majaalis Shahr Ramadhwaan, uk. 10
- Imechapishwa: 02/04/2020
5- Allaah anausamehe Ummah wa Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) usiku wa mwisho wa mwezi huu midhali wamesimama kwa yale yanayowapasa katika mwezi huu uliobarikiwa katika kufunga na kusimama usiku kuswali ikiwa ni fadhilah kutoka Kwake (Subhnaanah) kuwatimizia ujira wao wakati wa kumaliza kazi yao. Si vyenginevyo mfanya kazi hulipwa ujira wake wakati wa kumaliza kazi yake.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majaalis Shahr Ramadhwaan, uk. 10
Imechapishwa: 02/04/2020
https://firqatunnajia.com/06-sifa-ya-tano-nzuri-kwa-mfungaji/