162 – ´Abdur-Rahmaan bin Hasanah (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:
“Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alitujia na mkononi mwake akiwa na ngao ya ngozi. Akaiweka chini, kisha akaketi chini na kuanza kukojoa kuielekea[1]. Mtu mmoja akasema: “Mtazameni, anakojoa kama anavokojoa mwanamke.” Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akamsikia na akasema: “Ole wako! Hukujua yaliyowafika wana wa israaiyl? Walikuwa wakikata kila kitu ambacho kimepatwa na mkojo. Kwa vile alikuwa amewakataza akaadhibiwa ndani ya kaburi lake.”[2]
Ameipokea Ibn Maajah na Ibn Hibbaan katika “as-Swahiyh” yake.
[1] Alikuwa anaiweka imzuie kutokamana na watu wasimuone.
[2] Swahiyh.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/178)
- Imechapishwa: 05/04/2021
- taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
162 – ´Abdur-Rahmaan bin Hasanah (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:
“Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alitujia na mkononi mwake akiwa na ngao ya ngozi. Akaiweka chini, kisha akaketi chini na kuanza kukojoa kuielekea[1]. Mtu mmoja akasema: “Mtazameni, anakojoa kama anavokojoa mwanamke.” Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akamsikia na akasema: “Ole wako! Hukujua yaliyowafika wana wa israaiyl? Walikuwa wakikata kila kitu ambacho kimepatwa na mkojo. Kwa vile alikuwa amewakataza akaadhibiwa ndani ya kaburi lake.”[2]
Ameipokea Ibn Maajah na Ibn Hibbaan katika “as-Swahiyh” yake.
[1] Alikuwa anaiweka imzuie kutokamana na watu wasimuone.
[2] Swahiyh.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/178)
Imechapishwa: 05/04/2021
taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/06-hadiyth-walikuwa-wakikata-kila-kitu-ambacho-kimepatwa-na-mkojo/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)