´Aqiydah ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah ni kumuamini Allaah, Malaika Wake, Vitabu Vyake, Mitume Yake, siku ya Mwisho na kuamini Qadar kheri na shari yake. Kuna walioenda kinyume na misingi hii ikiwa ni pamoja na yale mapote sabini na tatu. Lakini hata hivyo Ahl-ul-Haqq wako imara juu ya haki vovyote wanavyotiwa katika majaribio mbalimbali kutoka kwa watu. Pamoja na yote haya wako imara juu ya haki. Hawataki jengine zaidi ya haki.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Mujmal ´Aqiydat-is-Salaf as-Swaalih, uk. 06
- Imechapishwa: 24/05/2022
´Aqiydah ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah ni kumuamini Allaah, Malaika Wake, Vitabu Vyake, Mitume Yake, siku ya Mwisho na kuamini Qadar kheri na shari yake. Kuna walioenda kinyume na misingi hii ikiwa ni pamoja na yale mapote sabini na tatu. Lakini hata hivyo Ahl-ul-Haqq wako imara juu ya haki vovyote wanavyotiwa katika majaribio mbalimbali kutoka kwa watu. Pamoja na yote haya wako imara juu ya haki. Hawataki jengine zaidi ya haki.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Mujmal ´Aqiydat-is-Salaf as-Swaalih, uk. 06
Imechapishwa: 24/05/2022
https://firqatunnajia.com/05-salafiyyuun-sio-wenye-kuteteleka-kwa-vitisho/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)