209 – ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) ameeleza kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
السِّواك مَطْهَرَةٌ للفَم، مَرْضاةٌ للربِّ
“Siwaak inasafisha mdomo na inamridhisha Mola.”[1]
Ameipokea an-Nasaa’iy, Ibn Khuzaymah katika ”as-Swahiyh” na Ibn Hibbaan katika ”as-Swahiyh”. al-Bukhaariy pia ameipokea ikiwa na cheni pungufu, ingawa kwa njia ya kuithibitisha.
[1] Swahiyh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/202)
- Imechapishwa: 09/01/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket