Visa vya uwongo kwa watoto ili walale

Swali: Baadhi ya wazazi wanawapigia watoto wao visa visivyokuwa vya kweli ili walale. Je, ni katika uwongo?

Jibu: Allaah ndiye anajua zaidi. Allaah ndiye anajua zaidi. Atafute vitu vinavyofaa na asidanganye.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23393/حكم-الكذب-في-قصص-الام-لاولادها-قبل-النوم
  • Imechapishwa: 09/01/2024