05. Hadiyth “Allaah anasifu na Malaika wanaiombea msamaha… “

235 – al-Baraa´ bin ´Aazib (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

إن الله وملائكتَه يصلُّون على الصفٍ المُقَدَّمِ، والمؤذِّنُ يغفرُ له مدى صوتِهِ، ويُصَدِّقُه من سمعه مِن رَطبٍ ويابسٍ، وله [مثل] أجر من صلّى معه

“Allaah anasifu na Malaika wanaiombea msamaha ile safu ya kwanza. Muadhini anasamehewa kwa umbali inapofikia sauti yake, kinamuombea msamaha kila kilichorutubika na kikavu na analipwa ujira mfano wa yule atakayeswali pamoja naye.”[1]

Ameipokea Ahmad na an-Nasaa´iy kwa chen iya wapokezi nzuri.

[1] Swahiyh kupitia zengine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/214)
  • Imechapishwa: 22/02/2022
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy