4- Kuapa kwa asiyekuwa Allaah. Kama mfano wa kuapa kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) au mtu mwengine na kuapa kwa amana. Yote hayo ni maovu na ni miongoni mwa mambo ya haramu ya kishirki. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Mwenye kuapa kwa kitu pasi na Allaah basi amefanya shirki.”
Ameipokea Imaam Ahmad (Rahimahu Allaah) kupitia kwa ´Umar bin al-Khattwaab (Radhiya Allaahu ´anh) kwa cheni ya wapokezi Swahiyh. Pia ameipokea Abu Daawuud na at-Tirmidhiy kwa cheni ya wapokezi Swahiyh kupitia kwa ´Abdullaah bin ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa). Pia imepokelewa kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwamba amesema:
”Mwenye kuapa kwa asiyekuwa Allaah amefanya kufuru au shirki.”
Pia imethiti kutoka kwake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwamba amesema:
”Msisemi ”Akitaka Allaah na akataka fulani”. Lakini semeni ”Akitaka Allaah kisha akataka fulani”.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Akhtwaau fiyl-´Aqiydah, uk. 3-4
- Imechapishwa: 21/06/2020
4- Kuapa kwa asiyekuwa Allaah. Kama mfano wa kuapa kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) au mtu mwengine na kuapa kwa amana. Yote hayo ni maovu na ni miongoni mwa mambo ya haramu ya kishirki. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Mwenye kuapa kwa kitu pasi na Allaah basi amefanya shirki.”
Ameipokea Imaam Ahmad (Rahimahu Allaah) kupitia kwa ´Umar bin al-Khattwaab (Radhiya Allaahu ´anh) kwa cheni ya wapokezi Swahiyh. Pia ameipokea Abu Daawuud na at-Tirmidhiy kwa cheni ya wapokezi Swahiyh kupitia kwa ´Abdullaah bin ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa). Pia imepokelewa kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwamba amesema:
”Mwenye kuapa kwa asiyekuwa Allaah amefanya kufuru au shirki.”
Pia imethiti kutoka kwake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwamba amesema:
”Msisemi ”Akitaka Allaah na akataka fulani”. Lakini semeni ”Akitaka Allaah kisha akataka fulani”.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Akhtwaau fiyl-´Aqiydah, uk. 3-4
Imechapishwa: 21/06/2020
https://firqatunnajia.com/04-kosa-la-nne-katika-aqiydah-kuapa-kwa-asiyekuwa-allaah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)