Hatumshuhudilii yeyote anayeswali kuelekea Qiblah kwamba ataingia Motoni kutokana na dhambi aliyoitenda au kwa dhambi kubwa aliyofanya. Isipokuwa kukiwa kuna Hadiyth inayosema hivo. Katika hali hiyo Hadiyth hiyo itasimuliwa kama ilivyokuja; tutaisadikisha na kuikubali na kutambua kwamba ni kama ilivyokuja.
Sisi hatumshuhudilii yeyote kwamba amekufa shahidi na wala hatumkatii yeyote kwamba yuko Peponi kutokana na matendo mema au kheri aliyoifanya. Isipokuwa kukiwa kuna Hadiyth inayosema hivo. Katika hali hiyo Hadiyth hiyo itasimuliwa kama ilivyokuja; tutaisadikisha na kuikubali na kutambua kwamba ni kama ilivyokuja. Hatuthibitishi kuwa shahidi.
- Muhusika: Imaam Harb bin Ismaa´iyl al-Kirmaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-us-Sunnah, uk. 44-45
- Imechapishwa: 24/05/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)