5- Waathilah bin al-Asqaa´ ameeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Yeyote mwenye kuweka msingi mzuri basi anapata ujira wake muda wa kuwa inafanyiwa kazi katika uhai wake na baada ya kufa kwake mpaka pale utakapoachwa. Na yeyote mwenye kuweka msingi mbaya basi anapata dhambi zake mpaka pale utakapoachwa. Na yeyote mwenye kufa hali ya kulinda mipaka ya taifa basi atapitishiwa kitendo cha mlinzi mpaka atapofufuliwa siku ya Qiyaamah.”[1]
Ameipokea at-Twabaraaniy katika “al-Mu´jam al-Kabiyr” kwa cheni ya wapokezi isiyokuwa na neno.
[1] Nzuri na Swahiyh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/135)
- Imechapishwa: 29/04/2020
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)